Wednesday 30 April 2008

ROONEY KUKIPETA JUMAMOSI NA WEST HAM

Mshambuliaji stadi na muhimu kwa MAN U, ambae hakucheza jana dhidi ya BARCELONA kwa sababu ya kuwa majeruhi, anategemewa kucheza Jumamosi katika mechi ya LIGI KUU UINGEREZA na WEST HAM Uwanjani Old Trafford.
Mechi hiyo ni muhimu sana kwani MAN U inatakiwa lazima ishinde.
Majeruhi wengine ni NEMANJA VIDIC, alieumia Jumamosi katika mechi na Chelsea, na PATRICE EVRA, alieumia jana kwenye mechi ya BARCELONA, wote wanategemewa kuwemo uwanjani dhidi ya WEST HAM.

No comments:

Powered By Blogger