ZIMEBAKIA DAKIKA CHACHE TU KABLA YA PAMBANO LA CHELSEA NA LIVERPOOL ILI MAN U WAMJUE MBAYA WAO FAINALI YA UBINGWA WA ULAYA HUKO MOSCOW, URUSI MEI 21, 2008, MENEJA WA MAN U, SIR ALEX FERGUSON ATAMBA:
'SIJALI CHOCHOTE NANI TUTAKUTANA NAE, TUNA NAFASI YA KUSHINDA!!!'
NA ANAONGEZA KWA UTANI:
'BORA LIVERPOOL KWANI TIKETI NYINGI ZITAUZWA KWA SABABU NI WAPINZANI WA JADI ILA NADHANI IKIWA CHELSEA MMILIKI WAO NI RAIA WA URUSI ROMAN ABRAMOVICH ATANUNUA TIKETI ZOTE!!!'
No comments:
Post a Comment