Saturday 3 May 2008




MAN UNITED 4 WEST HAM 1


UBINGWA WANUKIA OLD TRAFFORD!


Wafungaji Ronaldo [2], Tevez na Carrick kwa Man U na West Ham alifunga Dean Ashton.

Nani wa MAN U alitolewa nje kwa kadi nyekundu kipindi cha kwanza.


MAMENEJA MBALIMBALI WA KLABU ZA LIGI KUU WATOA MAONI YAO NANI ATATWAA UBINGWA WA LIGI KUU UINGEREZA- NI MAN U AU CHELSEA?

ARSENE WENGER [ARSENAL]:

SWALI: NANI ATATWAA UBINGWA?
'MAN U BINGWA. CHELSEA WANATAKIWA WASHINDE MECHI ZAO NA KUOMBA MAN U ATELEZE'

SWALI: NANI ANASTAHILI UBINGWA?
'MAN U KWANI WANACHEZA SOKA BORA NA WANASHAMBULIA'

ALEX MCLEISH [BIRMINGHAM]

SWALI: NANI BINGWA?
'MAN U'

SWALI: NANI ANASTAHILI UBINGWA?
'ALEX FERGUSON'

MARK HUGHES [BLACKBURN]

SWALI: NANI BINGWA?
'MAN U KWANI KUINGIA KWAO FAINALI YA KOMBE LA ULAYA KUMEWAPA MORALI SANA'

SWALI: NANI ANASTAHILI UBINGWA?
'MIE NIMECHEZEA MAN U NA CHELSEA NA NILIKUWA SHABIKI WA CHELSEA NILIPOKUWA MTOTO! KILA TIMU INASTAHILI!'

PAUL JEWEL [DERBY]

SWALI: NANI BINGWA?
'MAN U'

SWALI: NANI ANASTAHILI UBINGWA?
'DERBY!! TUKIACHA MZAHA, ARSENAL WALISTAHILI KUSHINDA KITU MSIMU HUU KWA UCHEZAJI WAO BORA LAKINI MAN U WANAWEZA KUKUTAFUNA MZIMAMZIMA WAKATI WOWOTE!!

DAVID MOYES [EVERTON]

SWALI: NANI BINGWA?
'SIKU ZOTE NILISEMA MAN U'

SWALI: NANI ANASTAHILI UBINGWA?
'MAN U'

RAFAEL BENITEZ [LIVERPOOL]

SWALI: NANI BINGWA?
'NAJUA MOYONI LAKINI KAMA SIO LIVERPOOL BASI SISEMI KITU'

SWALI: NANI ANASTAHILI UBINGWA?
'SISEMI'

HARRY REDKNAPP [PORTSMOUTH]

SWALI: NANI BINGWA?
'MAN U'

SWALI: NANI ANASTAHILI?
'SIJALI'

STEVE COPELL [READING]

SWALI: NANI BINGWA?
'MAN U WANA NAFASI'

SWALI: NANI ANASTAHILI?
'MIE NILICHEZEA MAN U LAZIMA NTAKUWA NA UPENDELEO!

STEVE BRUCE [WIGAN]

SWALI: NANI BINGWA?
'SWALI LA KIJINGA! SIWEZI KUSEMA CHELSEA NA SIWEZI KUSEMA MAN U KWANI TUNACHEZA NAO WIKI IJAYO!'

SWALI: NANI ANASTAHILI?
'HILO NI LA KIJINGA KABISAAA!'




FERGUSON:
'GRANT ANA MCHECHETO!!!'

Kauli hii ya Sir Alex Ferguson wa MAN U imekuja kufuatia Meneja wa Chelsea kumshutumu Meneja wa West Ham, Alan Curbishley ambae hivi juzi alikaririwa akisema kuwa 'itakuwa si haki kama MAN U hawachukia ubingwa msimu huu kwani wanacheza soka bora, la kuvutia na wana Meneja bora katika historia!'.

Kauli hiyo ya Alan Curbishley, ambae timu yake ya West Ham inajimwaga OLD TRAFFORD kucheza na MAN U leo saa 8 dakika 45 mchana, ilimpandisha mori Meneja wa Chelsea, Avram Grant na kudai kauli hiyo si sahihi!!!

Ferguson alisema jana: 'Nadhani Chelsea wako roho juu na wako tayari kufanya upuuzi wowote kwani wanajua MAN U ni timu yenye uwezo wa kushinda mechi zake na siku zote haihitaji msaada wa timu nyingine!!

Wadadisi wanachukulia kauli ya Ferguson kama ikielezea msimo halisi wa LIGI KUU UINGEREZA: MECHI BADO MBILI KWA KILA TIMU NA KAMA MAN U IKISHINDA HIZO MECHI MBILI BASI NI BINGWA! [labda Chelsea apate ushindi wa mabao mengi sana sana ili aipiku MAN U kwa tofauti ya magoli ambayo kwa sasa MAN U anaongoza kwa tofauti ya magoli 16!!]

Thursday 1 May 2008

DROGBA KAMA KAWAIDA KAIBEBA 'ZE BLUES' MOSCOW!!

CHELSEA 3 LIVERPOOL 2.

FAINALI NI MAN U VS CHELSEA=======MJINI MOSCOW 21 MAY 2008

Wednesday 30 April 2008


ZIMEBAKIA DAKIKA CHACHE TU KABLA YA PAMBANO LA CHELSEA NA LIVERPOOL ILI MAN U WAMJUE MBAYA WAO FAINALI YA UBINGWA WA ULAYA HUKO MOSCOW, URUSI MEI 21, 2008, MENEJA WA MAN U, SIR ALEX FERGUSON ATAMBA:


'SIJALI CHOCHOTE NANI TUTAKUTANA NAE, TUNA NAFASI YA KUSHINDA!!!'


NA ANAONGEZA KWA UTANI:


'BORA LIVERPOOL KWANI TIKETI NYINGI ZITAUZWA KWA SABABU NI WAPINZANI WA JADI ILA NADHANI IKIWA CHELSEA MMILIKI WAO NI RAIA WA URUSI ROMAN ABRAMOVICH ATANUNUA TIKETI ZOTE!!!'


LEO NDIO LEO!!!!!





NANI ATAENDA MOSCOW KUCHEZA NA MAN U 21 MEI 2008?



LEO SAA 3 DAKIKA 45 USIKU NDANI YA STAMFORD BRIDGE NYUMBANI KWA CHELSEA KINDUMBWENDUMBWE.

CHELSEA wanategemea kumchezeshaa kiungo wao tegemezi Frank Lampard ambe wiki iliyokwisha alifiwa na mama yake mzazi na alishindwa kucheza mechi ya LIGI Jumamosi dhidi ya MAN U.

LIVERPOOL huenda wakamchezesha 'MFUNGAJI' wa CHELSEA, JOHN ARNE RIISE ambae alijifunga mwenyewe na hivyo kuwapa CHELSEA dro ya 1-1 wasiyotegemea katika sekunde za mwisho za mechi ya kwanza iliyochezwa ARNFIELD.

LEO TIMU ZINATEGEMEWA KUWA:

Chelsea : Cech, Hilario, Belletti, Ferreira, Carvalho, Alex, Ben-Haim, Terry, A Cole, Bridge, J Cole, Ballack, Essien, Lampard, Wright-Phillips, Malouda, Kalou, Anelka, Drogba, Shevchenko, Mikel, Makelele.


Liverpool : Reina, Carragher, Arbeloa, Hyypia, Skrtel, Riise, Finnan, Babel, Benayoun, Gerrard, Lucas, Alonso, Mascherano, Pennant, Crouch, Kuyt, Torres, Voronin, Itandje.

WAAMUZI= REFA: Roberto Rosetti na WASAIDIZI: Alesandro Graselli na Paolo Calcagno [WOTE WANATOKA ITALIA]






ROONEY KUKIPETA JUMAMOSI NA WEST HAM

Mshambuliaji stadi na muhimu kwa MAN U, ambae hakucheza jana dhidi ya BARCELONA kwa sababu ya kuwa majeruhi, anategemewa kucheza Jumamosi katika mechi ya LIGI KUU UINGEREZA na WEST HAM Uwanjani Old Trafford.
Mechi hiyo ni muhimu sana kwani MAN U inatakiwa lazima ishinde.
Majeruhi wengine ni NEMANJA VIDIC, alieumia Jumamosi katika mechi na Chelsea, na PATRICE EVRA, alieumia jana kwenye mechi ya BARCELONA, wote wanategemewa kuwemo uwanjani dhidi ya WEST HAM.


'DEMU' WA RONALDO DE LIMA=kumbe DUME!!!!!!!

pichani ni Andreia Albertine - aka Andre Luiz Ribeiro Albertino - akishika leseni na kadi za GARI ya RONALDO DE LIMA!!

POLISI MJINI RIO DE JANEIRO WANATAKA KUMSHTAKI DEMU [dume hilo] kwa udanganyifu wa kujifanya demu na kunyang'anya mali hizo za RONALDO na pia kusingizia nyota huyo alikuwa ametumia madawa ya kulevya.


NANI MBABE=CHELSEA AU LIVERPOOL?

LEO USIKU SAA 3 DAKIKA 45 CHELSEA WANARUDIANA NA LIVERPOOL UWANJANI KWAO STAMFORD BRIDGE BAADA YA KUTOKA 1-1 KATI MECHI YA KWANZA.

TAYARI VITISHO NA MAJIGAMBO YAMESHAMIRI. SIKU CHACHE ZILOPITA MENEJA WA LIVERPOOL, RAFAEL BENITEZ ALITOA SHUTUMA KUWA DROGBA NI LAGHAI ANAEJIRUSHA KUTAKA PENALTI.

MENEJA HUYO ANADAI ANALO FAILI KUBWA SANA LENYE VITENDO VYA DROGBA VINAVYODHIHIRISHA ANAHADAA MAREFA.

LEO DROGBA [PICHANI] KAJIBU MAPIGO.

DROGBA KASEMA: 'BENITEZ NI MENEJA NILIEMHESHIMU SANA ILA SASA AMEPOTEZA IMANI YANGU KWAKE. NILIMWONA MWENYE UWEZO NA BORA SANA. LAKINI BOSI BORA HAWEZI KUMPONDA MCHEZAJI. LABDA ANATAFUTA KITU CHA KUTUCHANGANYA SISI. KAMA ANATAKA NISIANGUKE BASI AWAAMBIE WACHEZAJI WAKE WASINIGUSE. AMESAHAU MWAKA JANA KWENYE NUSU FAINALI YA UBINGWA HUU WA ULAYA TULIPOCHEZA NA TIMU YAKE LIVERPOOL WALINIVUNJA MBAVU'



PAUL SCHOLES AKISHANGILIA GOLI LILOIUA BARCA JANA!!

SCHOLES HAKUCHEZA FAINALI YA UBINGWA HUO MWAKA 1999 WAKATI MAN U ILIPOIBWAGA BAYERN MUNICH 2-1 NA KUCHUKUA UBINGWA WA ULAYA. SCHOLES ALIKUWA NA KADI.

MIEZI KADHAA NYUMA MENEJA SIR ALEX FERGUSON ALIAHIDI SCHOLES ATACHEZA FAINALI YA MWAKA HUU MJINI MOSCOW ENDAPO MAN U ITAINGIA FAINALI.

JANA SCHOLES ALIHAKIKISHA MAN U IKO FAINALI IKIWANIA KUTWAA UBINGWA HUO WA ULAYA KWA MARA YA TATU.



SAFARI YA MOSCOW TAREHE 21 MEI 2008 IMEIVA!!! MAN U 1 BARCA 0




KIPA VAN DER SAR AKISHANGILIA USHINDI OLD TRAFFORD JANA
PAUL SCHOLES ALIFUNGA BAO LA USHINDI




Tuesday 29 April 2008





RONALDO DE LIMA MATATANI NA POLISI KWAO BRAZIL!!!!









Polisi wa Rio de Janeiro, Brazil wamesema kuwa wanachunguza tuhuma kuwa mchezaji bora wa Brazil na dunia, Ronaldo de Lima aliwatishia wasenge watatu katika gesti mojawapo mjini humo baada ya kuwabeba toka kwenye klabu moja ya usiku ya matajiri akidhani ni mijike!!!




Alipofika chumbani akiikuta ni midume!!!

Ronaldo akashtuka na akaamua kuwapa Dola mia 5 kila mmoja lakini mmoja kati ya misenge hiyo mitatu aligoma na kudai Dola elfu 29,000!!!




KINDUMBWEDUMBWE LEO!!!!


UEFA CHAMPIONS LEAGUE!!!

MAN U vs BARCELONA








BAADA YA KUKEJELIWA NA KUITWA: 'MKIMBIZI...........' masumbwi yakafumuka kati ya PATRICE EVRA WA MAN U NA MFANYAKAZI WA GRAUNDINI WA CHELSEA!!! FA [CHAMA CHA MPIRA CHA UINGEREZA KIMEINGLIA SUALA HILO!!!
MECHI YA DERBY VS ARSENAL ILIYOCHEZWA JANA JUMATATU USIKU 29 APRIL 2008
DERBY 2 ARSENAL 6
MAGOLI [WAFUNGAJI]
Derby County 2
McEveley 31, Earnshaw 77
Arsenal 6
Bendtner 25, van Persie 39, Adebayor 59, Walcott 78, Adebayor 81, Adebayor 90

Monday 28 April 2008

RATIBA-LIGI KUU UINGEREZA [SAA ZA AFRIKA MASHARIKI]

JUMATATU, 28 April 2008

Derby v Arsenal, [SAA 4 USIKU]

JUMAMOSI, 03 May 2008

[mechi zote saa 11 jioni isipokuwa zilizoandikwa saa]

Aston Villa v Wigan,
Blackburn v Derby,
Bolton v Sunderland, [saa 1 na robo usiku]
Fulham v Birmingham,
Man Utd v West Ham, [saa 8 dakika 45 mchana]
Middlesbrough v Portsmouth,
Reading v Tottenham,

JUMAPILI, 04 May 2008

Arsenal v Everton, [saa 9 na nusu mchana]
Liverpool v Man City, [saa 12 jioni]

JUMATATU, 05 May 2008

Newcastle v Chelsea, [saa 12 jioni]

JUMAPILI, 11 May 2008

[mechi zote wakati mmoja saa 11 jioni]

Birmingham v Blackburn,
Chelsea v Bolton,
Derby v Reading,
Everton v Newcastle,
Middlesbrough v Man City,
Portsmouth v Fulham,
Sunderland v Arsenal,
Tottenham v Liverpool,
West Ham v Aston Villa,
Wigan v Man Utd,
habari zenu ndugu wote!!!

hii ni blogu mpya!!!



hii blogu itakuwa dedicated to SOKA mahsusi SOKA LA UINGEREZA hasa LIGI KUU YA UINGEREZA [ENGLISH PREMIER LEAGUE].

Tutawaletea news, makala na wote mnaruhusiwa kutoa mada!!!

KARIBUNI!!!



Ronaldo named player of the year

Ronaldo voted for Arsenal striker Emmanuel Adebayor
Manchester United winger Cristiano Ronaldo has been named as the Professional Footballers' Association player of the year.
The 23-year-old wins the award for the second successive season after another outstanding campaign that has seen him score 38 goals in all competitions.
"I feel very happy. It is a great moment, it is an honour, a pleasure," said the Portuguese star.
Arsenal midfielder Cesc Fabregas picked up the young player of the year award.
Ronaldo beat off competition from Liverpool duo Fernando Torres and Steven Gerrard, 20-year-old Fabregas and Gunners team-mate Emmanuel Adebayor and Portsmouth goalkeeper David James.
The Portugal international was also in the running to scoop the young player of the year award, a feat he achieved last year, but was pipped to the prize by Spain star Fabregas.
Torres, Micah Richards, Gabriel Agbonlahor and Ashley Young were the other nominees.
I feel very good but it is not just my award, my team-mates have helped me a lot this season
Cristiano Ronaldo
Ronaldo did not attend the event, as he is busy preparing for Man Utd's Champions League semi-final second leg clash with Barcelona on Tuesday night, but was presented with the award by United manager Sir Alex Ferguson.
"When you work all season to play good, to do something for the team, and then at the end of the season the PFA give you this award, it is a great motivation to carry on like that, to work more and get better," said Ronaldo.
"I feel very good but it is not just my award, my team-mates have helped me a lot this season.
"They give me good passes to score goals - and I score - but it is a good moment for me."
Ronaldo revealed he voted for Arsenal striker Adebayor, but believes the right man walked away with the award.
"I voted for Adebayor because I think he has had a great season as well," he said.
"But you have many players who have had a good season - Torres, Fabregas, many players. But I think I deserve to win!"
Of his award, Fabregas said: "I'm very proud. It's a very prestigious trophy.
"Football is a collective game and you prefer to win trophies with team-mates but it's always nice to have this type of award.
"I dedicate it to my team-mates because without them I would not have won."
BBC broadcaster and former England and Blackpool full-back Jimmy Armfield received the merit award for his services to the game.
Powered By Blogger