Tuesday 20 May 2008

MCHEZAJI WA LIGI KUU UINGEREZA JELA!
Mchezaji wa NEWCASLTE, JOEY BARTON, leo amefungwa miezi 6 jela baada ya kuhukumiwa kufuatia kukamatwa kwake 27 Desemba 2007 huko Liverpool baada ya kuwapiga watu. Ingawa alikuwa nje kwa dhamana, Joey Barton alikubali makosa yake mwezi uliopita na leo ndio ilikuwa hukumu.
Klabu yake ya NEWCASTLE imetoa taarifa kuwa imesikia hukumu hiyo na kwa wakati huu hawazungumzi lolote.

No comments:

Powered By Blogger