Tuesday 20 May 2008

NI MWAKA 1997!!! BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU UINGEREZA!!!!

JE UNAWAKUMBUKA HAWA?

NI 'VIFARANGA WA FERGUSON' kama Mapaparazi UINGEREZA WALIVYOWABATIZA!

Kutoka kushoto ni NICKY BUTT, RYAN GIGGS, DAVID BECKHAM, GARRY NEVILLE, PAUL SCHOLES na mbele amekaa PHILLIP NEVILLE!

No comments:

Powered By Blogger