- WAIFIKIA REKODI YA LIVERPOOL YA KUWA BINGWA MARA 18!!!!
- NI TIMU YA KWANZA KUTWAA LIGI KUU MARA 3 MFULULIZO!!!!
Mabingwa Watetezi wa LIGI KUU England, Manchester United, leo nyumbani kwao Old Trafford wametoka suluhu na Arsenal kwa bao 0-0 na kutwaa Ubingwa wa LIGI KUU kwa msimu wa mwaka 2008/9 huku wakiwa na mechi moja mkononi.
Manchester United, wakicheza chini ya kiwango, wamefikisha pointi 87 ambazo haziwezi kufikiwa na Timu yeyote ingawa ligi inamalizika wiki ijayo tarehe 24 mei 2009.
Vikosi vilikuwa:
Man Utd: Van der Sar, O'Shea, Vidic, Evans, Evra, Ronaldo, Fletcher, Carrick, Giggs, Rooney (Anderson 90), Tevez (Park 67).
Akiba hawakucheza: Kuszczak, Neville, Berbatov, Scholes, Rafael Da Silva.
Arsenal: Fabianski, Sagna, Toure, Song Billong, Gibbs (Eboue 76), Nasri (Bendtner 69), Denilson, Diaby, Fabregas, Arshavin (Walcott 69), van Persie.
Akiba hawakucheza: Mannone, Vela, Ramsey, Silvestre.
Kadi: van Persie, Arshavin, Fabregas, Nasri, Song Billong.
Watazamaji: 75,468
Refa: Mike Dean

No comments:
Post a Comment