Duniani kuna vituko na mikasa mingi na hata Dunia ya Soka haikosi vibweka vyake!!!

Mdau hana Wapinzani wa kusakata nao kabumbu lakini Ng'ombe anao!!!! Akajikita Kiwanjani kuwapiga chenga Ng'ombe zake!!!
Yote ni starehe na burudani ya Soka!!!!
Wadau hawana Kiwanja cha Mpira lakini hawakukata tamaaaa!!!!! Wakaenda kan
do ya Ziwa kwenye kilima na kujitengenezea 'NESHNO STEDIUMU' yao burudani huku imepambwa na 'pori' la mimea mikubwa!!!!

Bila shaka Timu yenye Kiwanja hiki 'spesho' wakiingia kwenye Viwanja vya kawaida vilivyo tambarare basi soka lao litakuwa la kutisha sana maana mazoezi wanayoyapata kwenye Kiwanja hiki kilicho chini juu ni magumu sana na bora sana!!!!
Wachezaji wakilala yombo ovyo basi wanaishia Ziwani!!!!
No comments:
Post a Comment