Friday 22 August 2008

BRAZIL WABEBA SHABA OLYMPIC!!
Tmu ya Brazil ikiongozwa na Nahodha Ronaldinho imefanikiwa kuifunga Belgium 3-0 na kutwaa Medali ya Shaba kwenye mashindano ya soka upande wa wanaume.
Magoli ya Brazil yalifungwa na Diego Rafes dakika ya 28 na Jo dakika ya 45 na 92.
Jana Brazil ya wanawake ilikosa Medali ya Dhahabu baada ya kufungwa na USA bao 1-0.
Kesho ni Fainali ya wanaume kati ya Nigeria na Argentina
.

No comments:

Powered By Blogger