Tuesday 19 August 2008

SIKU YA MWISHO UHAMISHO WACHEZAJI YASOGEZWA MBELE!!!!!!!!!!!!
LIGI KUU UINGEREZA imetangaza kwamba tarehe ya mwisho ya kipindi cha uhamisho wa Wachezaji itakuwa Septemba 1 badala ya 31 Agosti 2008 kwa sababu tarehe hiyo Agosti 31 imeangukia Jumapili.
Baada ya tarehe hiyo Klabu haziruhusiwi kuhamisha tena Wachezaji hadi kipindi kingine cha uhamisho kinachoanza tarehe 1 Januari, 2009.

No comments:

Powered By Blogger