Ferguson kumpa nafasi chipukizi Frazier Campbell
Meneja wa MAN U, Sir Alex Ferguson, amesema chipukizi Frazier Campbell atapewa nafasi kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha MAN U kwa sababu ana uwezo wa kufunga, mwepesi, mpiganaji mzuri na amethibitisha hayo baada ya kung’ara katika ziara ya Afrika ya hivi k
aribuni.
Frazier Campbell, miaka 20, jana alifunga goli la ushindi katika mechi ya kumuaga nyota wa MAN U, Ole Gunnar Solskjaer, hapo jana dhidi ya Espanyol ya Spain. MAN U ilishinda 1-0.

Vilevile, chipukizi huyu alikuwa mmoja wa wachezaji walioisaidia sana Hull City kupanda daraja na kuingia LIGI KUU UINGEREZA wakati alipoichezea timu hiyo kwa mkopo msimu ulopita.
Ferguson alitamka: ‘Ni mwepesi na ana bidii sana. Hapo baadae atakuwa nyota hapa. Tunategemea kupata kibali cha Manucho [Mchezaji mshambuliaji toka Angola] atasaidia kuimarisha safu ya washambuliaji. Campbell na Manucho ni muhimu kwani tuna upungufu safu hii. Tuna Washambuliaji wawili tu- Rooney na Tevez.’

No comments:
Post a Comment