Saturday 20 September 2008


BOLTON 1 ARSENAL 3

Arsenal wakicheza ugenini waliibuka na ushindi wa bao 3 kwa 1 Uwanjani Reebok nyumbani kwa Bolton.
Bolton ndio walioanza kutungua nyavu za Arsenal kwa goli la kichwa la Kevin Davies.
Arsenal wakacharuka na kupiga bao mbili za haraka kupitia Emmanuel Eboue na Nicklas Bendtner.
Hadi mapumziko Bolton 1 Arsenal 2.
Kipindi cha pili Arsenal wakapata bao safi lililofuatia shambulio la haraka kupitia Denilson.

No comments:

Powered By Blogger