Friday 19 September 2008

CHOPRA AWAINUA SUNDERLAND!
-apachika bao mbili!

Katika mechi ya LIGI KUU UINGEREZA iliyoanza mapema Mshambuliaji wa Sunderland Michael Chopra akitokea benchi na aliingizwa tu baada ya Teemu Tainio kuumia bega alifunga bao 2 na kuwapa Sunderland ushindi kwenye uwanja wake wa nyumbani uitwao Stadium of Light zidi ya Middlesbrough.
Middlesbrough 'walizawadiwa' penalti baada ya Mshambuliaji wao Aliadiere kujiangusha kwenye boksi.
Downing akapaisha penalti hiyo.

No comments:

Powered By Blogger