Wednesday 17 September 2008

MABINGWA MAN U WATOKA DRO!
-Arsenal wachomoa dakika za mwisho!

Mabingwa watetezi Man U wamekwama kuwafunga Villarreal katika mechi ambayo washabiki wengi wa Man U watalalamika refa hakutenda haki baada ya kuwanyima penalti mbili za wazi.

Huko Ukraine Arsenal walipigwa bao la penalti yenye utata lakini Nahodha William Gallas akachomoa dakika za mwisho.
MATOKEO KAMILI:

KUNDI E:

MAN U 0 V VILLAREAL 0,

CELTIC 0 V AALBORG O,

KUNDI F:

STEAU BUCHAREST 0 V BAYERN MUNICH 1,

LYON 2 V FIORENTINA 2,

KUNDI G:

PORTO 3 V FENERBAHCE 1,

DYNAMO KIEV 1 V ARSENAL 1,

KUNDI H:

JUVENTUS 1 V ZENIT O,

REAL MADRID 2 V BATE 0,

No comments:

Powered By Blogger