skip to main |
skip to sidebar
UEFA U21: KOMBE LA VIJANA CHINI YA MIAKA 21: NUSU FAINALI LEO- SWEDEN v ENGLAND
- GERMANY v ITALIA
Wenyeji Sweden leo wako Nusu Fainali ya Kombe la UEFA la Vijana wa Chini ya Miaka 21 na wanakutana na England mechi itakayoanza saa 1 usiku bongo taimu.Italia watacheza na Germany saa 3 dakika 45 usiku.Washindi watakutana Fainali Jumatatu tarehe 29 Juni 2009 kupata Bingwa wa Ulaya wa Timu za Taifa za Vijana wa chini ya miaka 21.
0 comments:
Post a Comment