Saturday 4 October 2008

BLACKBURN 0 MAN U 2

Mabingwa wa LIGI KUU Manchester United wameshinda mabao 2-0 nyumbani kwa Blackburn Rovers Ewood Park.
Magoli ya Man U yalifungwa na Wes Brown kipindi cha kwanza kufuatia kona ya Wayne Rooney na Wes Brown akamalizia kwa kichwa.
Kipindi cha pili Man U walifunga goli la pili lililowekwa kimiani na Wayne Rooney baada ya kazi nzuri sana ya Ronaldo.

No comments:

Powered By Blogger