Saturday 4 October 2008

MATOKEO LIGI KUU: MECHI ZILIZOANZA SAA 11 JIONI [bongo taimu]

Sunderland 1 v Arsenal 1
Cesc Fabregas ameiokoa Arsenal toka kipigoni baada ya kusawazisha bao dakika za majeruhi kwa kichwa kufuatia kona.
Grant Leadbitter aliipatia Sunderland bao murua la kuongoza kwa shuti kali lililogonga posti ya juu na kudunda wavuni.

West Brom 1 v Fulham 0
Roman Bednar alifunga bao na kuwapa ushindi WBA wakiwa uwanja wao wa nyumbani.

Wigan 0 v Middlesbrough 1
Jeremie Aliadiere ameipa ushindi Middlesbrough wakiwa ugenini kwa bao zuri la dakika za mwisho kufuatia krosi ya Didier Digard ambayo Stewart Downing alipiga kichwa cha chini na Jeremie Aliadiere akaunganisha moja kwa moja.

No comments:

Powered By Blogger