Thursday 11 February 2010

Blatter asanifu Kashfa ya Terry!!
Sepp Blatter, Rais wa FIFA, ameleta mzaha kwenye kashfa iliyomkumba Nahodha wa Chelsea John Terry iliyohusu kutembea na gelfrendi wa Mchezaji mwenzake wa Chelsea wakati huo na pia England, Wayne Bridge, ambayo imemsababisha afukuzwe Unahodha wa England kwa kusema kashfa hiyo ingesifiwa katika Nchi nyingine hasa zile za Kilatino.
Blatter alitoa mzaha huo akiwa Mjini Vancouver huko Canada akihudhuria Mkutano wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki na amesema Nchi kama Ufaransa, Italia na Spain ufuska wa Terry usingezua zogo.
Huko England kumekuwa na presha kubwa iliyomsababisha Kocha wa England, Fabio Capello, amwondoe Unahodha John Terry na kumpa aliekuwa Msaidizi wake Rio Ferdinand, Beki wa Manchester United.
Pichani ni Wayne Bridge na John Terry.
KWINGINEKO ULAYA: Ratiba
BUNDESLIGA
Ijumaa, Februari 12
Borussia Moenchengladbach v Nurnberg
Jumamosi, Februari 13
Stuttgart v Hamburg
Bayer Leverkusen v Wolfsburg
Hertha Berlin v Mainz 05
Hannover v Werder Bremen
Bochum v 1899 Hoffenheim
Bayern Munich v Borussia Dortmund
Schalke v Cologne
Eintracht Frankfurt v Freiburg
LA LIGA
Jumamosi, Februari 13
Xerez v Real Madrid
Villareal v Athletic Bilbao
Sporting Gijon v Valencia
Getafe v Almerica
Jumapili, Februari 14
Valladoid v Real Zaragoza
Sevilla v Osasuna
SERIE A
Ijumaa, Februari 12
AC Milan v Udinese
Jumamosi, Februari 13
Sampdoria v Fiorentina
Roma v Palermo
Jumapili, Februari 14
Parma v Lazio
Napoli v Inter Milan
Juventus v Genoa

No comments:

Powered By Blogger