Tuesday 9 February 2010

MSIMU WA ARSENAL WAZIDI KUTOKOMEA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
HII TULIITOA: Friday, 22 January 2010
Arsenal yupo kileleni lakini kimbembe chao kinakuja!!!
• Wiki 3 zijazo, Mechi 6 zijazo kuamua MBIVU au MBICHI!!!!
Baada ya kuwatungua Bolton mabao 4-2 hapo juzi huku wakipata ‘msaada mkubwa’ wa Refa Alan Wiley na hivyo kukaa kileleni mwa Ligi Kuu, Arsenal sasa ndio wanaingia hatua ngumu mno kwao kwa kukumbana na Vigingi na Vigogo vya kila aina ambavyo wakivishinda basi wanaweza wakatwaa Mataji yao ya kwanza tangu Mwaka 2005 walipotwaa FA Cup kwa mara ya mwisho.
RATIBA YAO YA WIKI 3 ZIJAZO NI:
Jumapili, Januari 24
FA Cup: Stoke v Arsenal======KICHAPO 3-1 AUTI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Jumatano, Januari 27
LIGI KUU:
Aston Villa v Arsenal========SARE 0-0
Jumapili, Januari 31
LIGI KUU:
Arsenal v Man United========KIPONDO 1-3
Jumapili, Februari 7
LIGI KUU:
Chelsea v Arsenal=========KIPIGO 2-0
Jumatano, Februari 10
LIGI KUU
Arsenal v Liverpool============NINI??????????????
Jumatano, Februari 17
UEFA CHAMPIONS LEAGUE:
FC Porto v Arsenal=========VIPI????????????????

No comments:

Powered By Blogger