Ghana yajikita Robo Fainali!!
Ghana 2 USA 1


Mechi hii ilichezwa Uwanja wa Royal Bafokeng huko Rustenburg.
Hadi dakika 90, bao zilikuwa 1-1 na ndipo zikaongezwa dakika 30.
Ghana ndio walikuwa wa kwanza kupata bao dakika ya 5 Mfungaji akiwa Kevin-Prince Boateng.
Lakini USA walisawazisha Kipindi cha Pili kwa penalti iliyopigwa na Landon Donovan.Penalti hiyo ilipatikana baada ya Difenda Jonathan Mensah kumwangusha Clint Dempsey ndani ya boksi.
Robo Fainali Ghana watacheza na Uruguay siku ya Ijumaa Julai 2.
No comments:
Post a Comment