NGOMA NGUMU!!! Misri 2 Algeria 0, mechi kuchezwa tena Jumatano huko Sudan kupata Mshindi kwenda Kombe la Dunia!!!

Lakini ushindi huo umewafanya walingane kila kitu na Algeria na hivyo mechi hiyo itachezwa Uwanja nyutro huko Sudan ili kupata Mshindi atakaetinga Fainali Kombe la Dunia kuungana na Nchi nyingine za Afrika, yaani Afrika Kusini, Ghana, Ivory Coast, Cameroun na Nigeria.
No comments:
Post a Comment